Idara ya Elimu ya Kikristo
Kufundisha mafundisho sahihi ya Biblia kwa makundi yote ya umri.
Idara hii inaandaa vifaa vya mafundisho na kuratibu masomo ya Biblia, katekisimu na madarasa ya kipaimara.
Majukumu
Kuandaa mitaala ya mafundisho
Kuratibu madarasa ya katekisimu/kipaimara
Kutoa mafunzo kwa walimu wa shule ya Jumapili na masomo ya Biblia
Kuratibu madarasa ya katekisimu/kipaimara
Kutoa mafunzo kwa walimu wa shule ya Jumapili na masomo ya Biblia