Kanisa la Moravian Tanzania - Jimbo la Kaskazini

Idara ya Mipango na Maendeleo

Kuratibu miradi ya jimbo na mipango ya maendeleo ya muda mrefu.

Rudi
Inapanga na kufuatilia miradi ya maendeleo ya jimbo katika elimu, afya, uwezeshaji wa kiuchumi na miundombinu.

Majukumu

Kupanga na kufuatilia miradi ya jimbo
Kuhamasisha rasilimali za maendeleo
Kutoa taarifa za maendeleo ya miradi kwa uongozi

Wakuu wa Idara