Kanisa la Moravian Tanzania - Jimbo la Kaskazini

Historia ya Kanisa la Moravian

Rudi
Chapisho Ilichapishwa 07 Ago 2026
Kanisa la Moravian lilianzishwa rasmi mwaka 1457 na wafuasi wa vuguvugu la mfia dini (shahidi) John Hus. Kanisa la Moravian ni madhehebu ya Kiprotestanti yenye zaidi ya miaka mia tano ya historia. Jina lake rasmi lilipoanza lilikuwa ni ‘’Umoja wa Ndugu’’; lakini likaja kujulikana zaidi kama Kanisa la "Moravian" miaka mingi baadaye katika karne ya kumi na nane (18). Jina hili la Moravian ilikuwa kwa sababu waumini wake wengi walitoka jimbo la Moravia, ambalo sasa lipo katika Jamhuri ya Ucheki ( Czech).

Historia ya Kanisa la Moravian

PDF Hati

Pakua